slider

Saturday, July 16, 2016

HOME

Kwa bei poa kabisa, jipatie tarakirishi yako kwa bei poa kabisa.
Ni tarakirishi aina ya DELL E5500 ya kisasa ambayo ina uwezo mkubwa wa kuhifadhi data  na mambo mengine kama miziki
na filamu za aina mbalimbali namaanisha (file format).
Tarakirishi hii ina sifa nyingi kama ifuatavyo:-
  •   Memori (RAM)----------------  4GB.
  • HDD Drive------------------------1TB
  •   CPU-----------------------------  4.8GHZ
  •   DVD-Rw mult writer
Bei kamili ya Tarakilishi hii ni Tsh. 600000.00 wahi kwani wahitaji ni wengi ni mpya siyo yuzidi,
na garatii yake ni miaka miwili ikiambatana na furash disk yenye ukubwa  wa 32G.  FM hapa kazi tu.
========================================================================

Asante sana ndugu zangu wapendwa kwa ushilikiano wenu mnaouonyesha baina yangu sina budi kuwashukuru kwa sababu msada wenu ni mkubwa sna.
Leo tena nimewaletea Computa moja maridadi sana ambayo inaenda
kwa jina la APLE. Ni comp[uter aina ya desktop ambayo imekamilika kwa kila nyanja. Sifa zake
  •   Memori (RAM)----------------  12GB.
  • HDD Drive------------------------1TB 
  •   CPU-----------------------------  12.2GHZ
  •   DVD-Rw mult writer
Bei kamili ya Tarakilishi hii ni Tsh. 1,500,000.00 wahi kwani wahitaji ni wengi ni mpya siyo yuzidi, kama mlivyozoea
na garatii yake ni miaka miwili na nusu ikiambatana na furash disk yenye ukubwa  wa 32G.
==================================================================


Wadau kama mnavyoona hapo juu, inaashilia kwamba FM computer solution haihusiki na uuzaji wa komputa peke yake bali hata utengenezaji, kw hiyo ngu zangu wapendwa nawahakikishia kwamba komputa zenu hazitakuwa na usumbufu wowote wakati mafundi tupo.
Tunatengeneza komputa za aina zote yaani laptop pamoja na deskitop, lete komputa yako nayo itakuwa salama salimini maana mafundi wa kitengo hiki wamebobea kwa kazi hii. Tumia linki hii kututembelea katika ukurasa wetu wa facebook.  http://www.facebook.com/fidelisjuma
=======================================================================  
JINSI YA  KUIFANYA  RAMU FLASH DISK YAKO
 Leo nataka niwape maujanja kidogo kuhusu flashi disk inavyoweza kutumika kama RAM ndani ya kompyuta, ningependa kuonyeshe hatua kwa hatua ili na wewe ufahamu haya maujanja.
Kwa kutumia windows 7,8 na windows 10, Kwanza kabisa chomeka flashi yako kisha
bofya start batan katika kibodi au kiliki na mausi, alafu nenda kwenye flashi yako usiifungue rightclik nachagua propaties na click ReadyBoost alafu select " use this device " kisha chagua level unayotaka RAM yako iwe kwenye mstari hapo chini baada ya hapo click apply then click OK.
NOTE: Your flash disk should be 2GB and abovu.   THANKS.
---------------------------------------------------------------------------------------------------------


Pia tunashughulika na uuzaji wa adapta chaja za laptop aina zote karibuni sana.


1 comment:

Gallery